Wednesday, July 10, 2024

 Geo Mond blog imejitolea kufuatilia na kutoa taarifa kuhusu hali ilivyo miongoni mwa nchi za Afrika. Blog hii itajikita katika kuchambua mila, tamaduni na maisha ya kawaida ya wenyeji wa maeneo mbalimbali barani Afrika. Kupitia uzoefu wangu katika uandishi wa habari za kiuchunguzi, nitakuwa nikikuletea makala za kipekee ambazo huenda haujawahi kusikia popote pale. Pia, utapata taarifa za kina kuhusu michezo, dini na elimu bila malipo yoyote. Jiunge nami katika safari hii ya kuelimika na kufahamu zaidi kuhusu bara la Afrika. Karibu Geo Mond blog

0 comments: