Monday, July 29, 2024

ICHAGUENI CCM


 CHAGUENI CHAMA CHA MAPINDUZI 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa wananchi waendelee kukichagua Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na utekelezaji mzuri wa Ilani yake. Akizungumza katika mkutano wa hadhara Mtwara, Nchimbi amesema kuwa Ilani ya CCM imetekelezwa kwa asilimia 80 na kuhimiza utunzaji wa amani nchini. 

Aliambatana na viongozi wengine wa CCM akiwemo Katibu wa NEC Oganaizesheni, Issa Usi Haji Gavu, na Katibu wa NEC Itikadi, Amos Makalla


 

0 comments: