Sunday, July 21, 2024

NAPE NA MAKAMBA WATENGULIWA


Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la Mawaziri ambapo Nape Nnauye na January Makamba wametenguliwa kutoka nyadhifa zao. 
January Makamba ambaye alikuwa Waziri wa Nafasi yake imechukuliwa na Balozi Mahmoud Kombo ambaye awali alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia.
Tutaendelea kufuatilia na kuwafahamisha kadiri tutakavyokuwa tukipata taarifa.



 

0 comments: