Mahakama ya Milan imemwamuru mwandishi wa habari Giulia Cortese kumlipa Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni fidia ya euro 5,000 kwa kumdhihaki kwenye mitandao ya kijamii. Cortese pia alitozwa faini ya euro 1,200, iliyosimamishwa, kwa tweet ya kumkejeli Meloni kuhusu kimo chake mnamo Oktoba 2021. Meloni alimshitaki Cortese baada ya mzozo kwenye mitandao ya kijamii.
Kama hali hii na sheria hii ingetekelezwa kwetu mtuhumiwa huyu angetakiwa kumlipa zaidi ya million 14 kwa kosa la kejeli kwenye mitandao ya kijamii.
0 comments: