Sunday, July 21, 2024

MBUNGE AJIUZULU

Naibu Waziri Ajiuzulu Ubunge

 Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya ubunge. Barua hiyo imeelekezwa kwa Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson.

Balozi Mbarouk ameeleza kuwa sababu ya kujiuzulu kwake ni changamoto za kijamii zinazomkabili kwa sasa.

 

0 comments: