Thursday, July 18, 2024

MAHAKAMA YA YASITISHA MARUFUKU YA POLISI





Mahakama ya Kenya Yasitisha Marufuku ya Polisi Dhidi ya Maandamano Nairobi


Mahakama ya Kenya imesitisha marufuku ya polisi dhidi ya maandamano katika Nairobi na maeneo yajirani  taarifa zaidi zinasema Polisi walitoa agizo hilo Jumatano 17 Julai  wakisema kuwa hali ya kutokuwa na kiongozi imefanya iwe vigumu kudhibiti usalama na kwamba maandamano hayo yameingiliwa na wahalifu."Hatua hii imefuatia mwezi mmoja wa maandamano dhidi ya serikali ambapo watu kadhaa wameuawa. Maandamano zaidi yaliyopangwa kufanyika Alhamisi yalishindwa kufanyika.



  

0 comments: